Master wa mikimbio vipi hajakutana na freekick?Wachezaji wetu,fea plei ni muhimu,sijapenda kabisa......Azizi K......
Hapa sasa unaanza mitusiMbumbumbu ili uelewe lazima upewe mifano ya timu yako ndiyo unaelewa vizuri zaidi
Muulize NabiYule yule wa mwanzo?
Vipi na hili tena Mayele hajaseti gwaride kwa ajili ya kutetema?
Tunasubilia hapa itokee πππMaster wa mikimbio vipi hajakutana na freekick?
Uto hawezi kuwa mamba.Usitukane mamba wakati hujavuka mto
Pamoja na kupoteza, lakini mikimbio si bado ipo?Aziz Ki Sasa wanapoteza Bure mipira
Kwamba mimi sina kifua cha kuitwa utopolo πHapa sasa unaanza mitusi
Subiri tukupasue second leg akili ikukae sawaUto hawezi kuwa mamba.
ππTunasubilia hapa itokee πππ
Kwa mbiindeDakika ya 87
Manula anamjua vizuri lakiniDomokaya
Hapa vita ni points 3βοΈKwa mbiinde
AlioteaManula anamjua vizuri lakini
Kama kuotea ni rahisi sana,basi hata Kibu Denis angekuwa anaotea πAliotea