Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penati ya mchongo hivi hakuna VAR ?
mpira unajua kuumiza aiseeeh'...!![emoji119]
Kwani mechi imeisha?Midomo mnooo yani mna mdomo mnoo...oohh tutawapiga nje ndani....yani wao wamelala??
Na hado hamjasema.Ila Job simkubaligi basi tu, ana maamuzi ya hovyo.
Huyu ndio alianza kutuletea balaa kwenye fainali Vs Usma
Wapelekee VARPenati ya mchongo hivi hakuna VAR ?
Hamia msimbazi🤣😌😌😌😌
SawaYanga wanahitaji sana utulivu na umakini mkubwa mno.
Yanga bado mpo mafunzoni namna ya kucheza mechi za Cacl.