Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa chamwino mkuuKutoka wapi
Faulu kwenda kwa Medeama
Mimi siku zote huwa ninasimama kwenye ukweli. Yanga hatuna mshambuliaji mbadala wa Fiston Kalala Mayele.Unamnanga Hersi ee
Kwa mujibu wa CAF huyu jamaa ana vigezo kuliko kina Kayoko na Arajiga.Hyu refa Hana vgezo vya kuchezesha mechi kubwa Kama hiii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nisamehe mkuu kuna mijitu inakera
Walompa kazi wamemuona ana vigezo vyote vya kuchezesha hii mechi, kinachomtesa ni mapenzi yake kwa MedeamaHyu refa Hana vgezo vya kuchezesha mechi kubwa Kama hiii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nakubali mtani..yule alikua mwamba..alikua kama Kagere enzi zake..Mimi siku zote huwa ninasimama kwenye ukweli. Yanga hatuna mshambuliaji mbadala wa Fiston Kalala Mayele.
Beki kisikiMwamnyeto aangaliwe
Ni kama umeumia vile nilivyomsifia.Mtu hajakabwa na alikuwa anakosa pale.. mnaanza kumsifia wa sayari nyingine
Sahihi kabisa. Hata Kagere wakati anasajiliwa simba alikuwa ni wa moto sana.Nakubali mtani..yule alikua mwamba..alikua kama Kagere enzi zake..