Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapulize filimbi uweke tuta.Mchezaji wa Yanga alishikishwa kwenye box
Naona sisi wa nje tunaona kuliko hata yeye eti!! Anachokifanya kule mbele hata hakieleweki. Yaani mchezo umemktaa kuanzia kipindi cha kwanza.Musonda kachoka.
Kama wanaitaka VAR wafuzu roboMkifuzu hatua ya Robo fainali na kuendelea mtaiona VAR.
Yaani bora aingie Mudathir tucheze bila mshambuliaji.Naona sisi wa nje tunaona kuliko hata yeye eti!! Anachokifanya kule mbele hata hakieleweki. Yaani mchezo umemktaa kuanzia kipindi cha kwanza.
Nabi ndiye Master wa Subs..Kocha sub anafeli sana
Au sioKapulize filimbi uweke tuta.
Mwamnyeto aangaliwe