Shida ipo..Mpira wa AFRIKA
3 v 3 tunashindwa kufanya shambulizi la hatari.
Poor yanga,
Mpira wa AFRIKA
3 v 3 tunashindwa kufanya shambulizi la hatari.
Poor yanga,
Kama wakiishia draw. Yanga itakuwa wamejitahidi sana.Man of the match ni Kibabage Leo.
😀Sema yanga, acha kuijumuisha Afrika kwenye ujinga wenu.
Mi nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanawapa presha Yanga eti kisa walimfunga Cr BelarouzidadKabisa kabisa, wachovu hao
Tulia weweYanga kufuzu ni ngumu sana