FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Man of the match ni Kibabage Leo.
Kama wakiishia draw. Yanga itakuwa wamejitahidi sana.

Hata nafasi waliyoko pamoja na kwamba ni wa mwisho kwenye group, wame jitahidi kadri ya uwezo wao ulipofikia.

5-1 hoyee.
 
Ukweli mwingine ni kuwa mawinga wa yanga hawana ujuzi wowote, wanachojua wao ni kupiga cross tu Tena ambazo hazina macho

Winger hauwezi kumpiga chenga beki hata mmoja ukaingia ndani ya box na kusababisha penalty
 
Kabisa kabisa, wachovu hao
Mi nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanawapa presha Yanga eti kisa walimfunga Cr Belarouzidad

Wakati ukiangalia lile goli la pili lilikuwa sio halali maana mchezaji aliushika mpira na wachezaji wa Cr Belarouzidad walitoka kwenye focus wakijua refa atadimamisha mpira

Matokeo yake jamaa wakafunga goli huku Cr Belarouzidad wakiwa wamebaki na bumbuwazi.
 
Back
Top Bottom