Kundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu.Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa
Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa...
Medeama ni Marumo BKundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu. Hili kundi linaamuliwa hadi mechi za mwishoni, Belouizdad kafungwa na Medeama lakini kamkingia kifua Al Ahly. Yanga kama wangekuwa na wamaliziaji wazuri wangepata alama tatu leo, kundi bado ni gumu sana.
Bado tatu za dar[emoji1787]Yani vyura wana kelele jamani..ooh hawa mediama point sita zetu...haya sasa point moja hyoooo
NakaziaNadhani jina la mikia liende mahala sahihi
Bado tatu za dar tunawachia point 2Yani vyura wana kelele jamani..ooh hawa mediama point sita zetu...haya sasa point moja hyoooo
Unakuja Tena kudanga ghna Sasa sura za Ghana utawapta wapiIla Madeama haina hata wakaka wazuri sijapenda kabisa, kuna team zina wachezaji wazuri umefungwa unaumia lakini unaendelea kutazama zile 'vifaa' kwa kupunguza machungu..!![emoji18]
Ukweli ni kwamba Madeama alicheza na Simba ,lazima Simba atakalia ukuni tuwe wakweli tuu.Medeama ni Marumo B
Nikiwa kama mpenda mpira na sio shabiki maandazi wa mpira, Huwa napenda kuwa realistic na Huwa siweki chuki Wala mahaba.hayo n mawazo yako kama ulivyo amini ikinyesha mvua una shida ukala mkono
Timu nyingi Sana duniani Sasa hivi Kuna shida wa ma striker upatikanji wake Ni adimuYanga tunahitaji strikers..