FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa

Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa...
Kundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu.

Hili kundi linaamuliwa hadi mechi za mwishoni, Belouizdad kafungwa na Medeama lakini kamkingia kifua Al Ahly. Yanga kama wangekuwa na wamaliziaji wazuri wangepata alama tatu leo, kundi bado ni gumu sana.
 
Kundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu. Hili kundi linaamuliwa hadi mechi za mwishoni, Belouizdad kafungwa na Medeama lakini kamkingia kifua Al Ahly. Yanga kama wangekuwa na wamaliziaji wazuri wangepata alama tatu leo, kundi bado ni gumu sana.
Medeama ni Marumo B
 
Huyu refa anatoka viwanja vya fisi manzese 😯 Mbona amekataa goli la wazi kabisa halafu hakutoa red kwa madeama au var waliificha ?
Poor performance
 
Kunbuka Yanga mpaka sasa amecheza mechi 2 ugenini na kapata alama moja na mechi moja ya nyumbani kacheza na Kigogo wa Afrika ambae hata nyie mlishindwa kumfunga.
 
hayo n mawazo yako kama ulivyo amini ikinyesha mvua una shida ukala mkono
Nikiwa kama mpenda mpira na sio shabiki maandazi wa mpira, Huwa napenda kuwa realistic na Huwa siweki chuki Wala mahaba.

Yanga mpaka sasa hivi amecheza mechi 3 amekusanya points 2, kabakiza mechi 2 za nyumbani na moja ya ugenini.

Kumbuka huko ugenini anaenda kucheza na National Al Ahly timu Bora ya Karne, hapa nyumbani anacheza na CRB ambayo tayari kila mtu kaona kiuwezo ni Bora kuliko Yanga na game nyingine ambayo angalau Kuna uwezakano mkubwa wa ushindi ni ya hawa washamba wa aliyocheza nao Leo.

Sasa kimahesabu tu hapo na uhalisia, hapo Yanga atapata points 3 nyumbani dhidi ya hawa Maema sijui madeama.. game dhidi ya CRB uwezakano mkubwa ni droo tu pale game ya Ahly hata kupata droo tu utakuwa ni mtihani mzito.

Hivyo Kuna possibility kubwa ya kukusanya points zisizozidi 6 ambazo kismingi hazitatosha kumpeleka hatua inayofuata. Sio chuki Wala Nini Bali ni maoni yangu binafsi
 
Mchambuzi Wa Mchongo :

Yanga itatoboa, Mediama anakufa Kwa Mkapa.. points 3 na hizi 2 jumla 5

Cairo Kuna Points 3 zetu Pale..! Hapo inakuwa points 8

Beluzidadi anaachia Points 3

Inakuwa 11, Watu haooo..ROBO..!

Acha kucheza na Wa Mchongo Wanasahau CL hakuna Zalani au Marumo huku...
 
Back
Top Bottom