vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kundi lina timu ngumu, hawa Medeama mbele sio mchezo, mechi ya marudiano kwa Yanga, Belouizdad na Al Ahly hawa jamaa watakufa na mtu.Kundi sio gumu kivile ni hivyo tu ya uchanga wa ndugu zetu kwenye hizi level za Club Bingwa
Kwasababu nilikua nahesabu point 6 kwa huyu Medeama na hili nililiona linawezekana kabisa...
Hili kundi linaamuliwa hadi mechi za mwishoni, Belouizdad kafungwa na Medeama lakini kamkingia kifua Al Ahly. Yanga kama wangekuwa na wamaliziaji wazuri wangepata alama tatu leo, kundi bado ni gumu sana.