Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Hayo matobo umeona? Kampa kampa tena...Wacha tuone... Ila kama yametukamata hataree....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo matobo umeona? Kampa kampa tena...Wacha tuone... Ila kama yametukamata hataree....
Pira judo wanalocheza Uto kuumia ni suala la kawaida nguvu nyingi kuliko akili lazima uumie.Aucho kashaumia
AsharudiPira judo wanalocheza Uto kuumia ni suala la kawaida nguvu nyingi kuliko akili lazima uumie.
Mbona mpira haujatulia yaani ni butu butu Yanga wanapoteza mpira hovyo hovyo
Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023
Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana.
Je, wawakilishi hawa wa Tanzania wataondoka na alama tatu?
View attachment 2836803
Kikosi cha Yanga kinachoanza
View attachment 2836806
Kikosi cha Madeama kinachoanza
- Mchezo umeanza
Ngumu kwenu, kwetu raha