FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Wakati nawaambia watu Pacome ndio usajili bora kwa msimu huu Tanzania nzima walinibishia, natamani nimtafute kila mmoja wao nimkumbushe!
Tunafahamu Yanga Ina wachezaji Bora na ni kikosi kipana. Mchezaji mmoja hawezi kuvusha timu
 
Chama lako liko nafasi ya ngapi?
Screenshot_20231208-194320_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom