Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlisema nyie timu bora Afrika, pambaneniYanga tuna wakati mgumu. Yaani mpaka Medeama wanamiliki mshambuliaji mzuri kuliko sisi!!! Nadhani viongozi wetu walipuyanga kwa kumuuza Mayele na kumnunua Konkoni.
Hatujakata tamaa kiviile! Ila tukubali tu simba na Yanga msimu huu wote hali ni ngumu kwenye makundi yao.Mlisema nyie timu bora Afrika, pambaneni
Kule mbele naona Mzize na Musonda wanarukaruka tu.Mudathir mechi inamwitaji hii.
Hana uwezo, akibanwa tu anarudisha nyumaYao anachelewesha mipira
Yaoooo
CAF wanayaoona haya? Timu yetu inaonewa nyumbani mpaka ugenini!!!Hyu refa Hana vgezo vya kuchezesha mechi kubwa Kama hiii
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jinsi ya KufungaJinsi ya kufungwa [emoji2772]
Aingie Azizi Ki