FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

Mi nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanawapa presha Yanga eti kisa walimfunga Cr Belarouzidad

Wakati ukiangalia lile goli la pili lilikuwa sio halali maana mchezaji aliushika mpira na wachezaji wa Cr Belarouzidad walitoka kwenye focus wakijua refa atadimamisha mpira

Matokeo yake jamaa wakafunga goli huku Cr Belarouzidad wakiwa wamebaki na bumbuwazi.
Simba lazima atafuzu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Huku nilipo Tanesko wamefanya yao. Nawategemea jf ili kujua mambo yanavyokwenda
 
Back
Top Bottom