mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Simba lazima atafuzuMi nilikuwa nawashangaa waliokuwa wanawapa presha Yanga eti kisa walimfunga Cr Belarouzidad
Wakati ukiangalia lile goli la pili lilikuwa sio halali maana mchezaji aliushika mpira na wachezaji wa Cr Belarouzidad walitoka kwenye focus wakijua refa atadimamisha mpira
Matokeo yake jamaa wakafunga goli huku Cr Belarouzidad wakiwa wamebaki na bumbuwazi.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app