GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Watu ni wa mwisho kama ule mwiko wao kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea huku roho inakuuma kwasababu unajua kabisa hao CRB wanafungika vizuri tu.Nikiwa kama mpenda mpira na sio shabiki maandazi wa mpira, Huwa napenda kuwa realistic na Huwa siweki chuki Wala mahaba.
Yanga mpaka sasa hivi amecheza mechi 3 amekusanya points 2, kabakiza mechi 2 za nyumbani na moja ya ugenini.
Kumbuka huko ugenini anaenda kucheza na National Al Ahly timu Bora ya Karne, hapa nyumbani anacheza na CRB ambayo tayari kila mtu kaona kiuwezo ni Bora kuliko Yanga na game nyingine ambayo angalau Kuna uwezakano mkubwa wa ushindi ni ya hawa washamba wa aliyocheza nao Leo.
Sasa kimahesabu tu hapo na uhalisia, hapo Yanga atapata points 3 nyumbani dhidi ya hawa Maema sijui madeama.. game dhidi ya CRB uwezakano mkubwa ni droo tu pale game ya Ahly hata kupata droo tu utakuwa ni mtihani mzito.
Hivyo Kuna possibility kubwa ya kukusanya points zisizozidi 6 ambazo kismingi hazitatosha kumpeleka hatua inayofuata. Sio chuki Wala Nini Bali ni maoni yangu binafsi
Kuna Simba nyingi msimu huuUkweli ni kwamba Madeama alicheza na Simba ,lazima Simba atakalia ukuni tuwe wakweli tuu.
Simba na medeama ipi timu ngumu?Medeama ni Marumo B
Sababu ni ipiMedeama ni Marumo B
Sawa line 2 umesikika vizuriIle offside ya mchongo...
Jibu unalijuaSimba na medeama ipi timu ngumu?
Mechi ya leo na ile ya mwishoSababu ni ipi
Tuna changamoto sana ya Marefa,Sawa line 2 umesikika vizuri
Mtaimba nyimbo zote.....!Bado Wananchi wanaweza kutoboa. Hili ndiyo group gumu kuliko yote.
Sina naomba unijibuJibu unalijua
Sio goli la pili tu hata zile 5 nazo za Mkapa Stadium hazikuwa magoli mkuu. Kwenye Maruti mlisawazisha.Haha kweli hata lile goli la 2 ni goli halali. Hakukua na offside. Poleni utopwinho nafasi ya mkia iliwapenda zaidi.
Si ndio nyie mlikuwa mnasema Yanga atamaliza bila point hata moja? Leo kiko wapi? kumbuka tuna mechi mbili za nyumbani bado.Kiburi chote kwishney!! Hii ni champions league na si ile ya losers!!
Hata Max naye kashuka sana kimchezo, sijui wamepatwa na nini hawa Watu.Aziz ki nini kimempata hayupo mchezoni haonyeshi juhudi yoyote hii ni mechi ya tatu yupo yupo tu uwanjani
Maybe Simba wanamtakaAziz ki nini kimempata hayupo mchezoni haonyeshi juhudi yoyote hii ni mechi ya tatu yupo yupo tu uwanjani
Shida ipo mahala..Aziz ki nini kimempata hayupo mchezoni haonyeshi juhudi yoyote hii ni mechi ya tatu yupo yupo tu uwanjani