Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
- Thread starter
-
- #81
Nilifuata Kahawa kidogo πWaufukweni yupo zake Twitter na tiktok anafuatilia habari hana hata muda na uzi wake.
Huenda huwajui vema Sudan ila wako vizuri sana kwenye elimu na maarifa ukilinganisha na marefa kutoka "makosa ya kibinadam premier league"(MKPL)Sudan wenye lig mbov lakn wana marefa wenye hadh ya kuchezesha fainal ila bongo du!
Du nimecheka sanaHuenda huwajui vema Sudan ila wako vizuri sana kwenye elimu na maarifa ukilinganisha na marefa kutoka "makosa ya kibinadam premier league"(MKPL)
Tofauti ni saa 1 mbele kwa Tanzania.
Saa 9 kwao ni saa 10 kwetu. Kwani hatujawahi kucheza mechi saa 10 na hao waarabu?
Eti wanajifanya wanampenda..wanafiki watupuu...Hamtupi majini tena?
Tuwavumilie tu wenye akili uzuri mmoja ni wawili tu wa kwetuπEti wanajifanya wanampenda..wanafiki watupuu...
nina kombe tayari mkononi,kazi niliyobakisha na kuzuia tu asifunge bao lolote nyumbani kwangu.Unaenda kutafuta sare? Umesahau al ahly?
Mala buku nyieπ π πKesho kam kauwaaaaaaa mtapigwa kipigo cha mbwakokoπππ!!
Hurrrrraayyy Berkane π§‘π§‘π§‘ππͺ
Mjinga ni baba na mama yako.Mjinga kweli. NI KILAZA SANA SIJAWAI KUONA na ninaamini ulifeli shule sana wewe.
Kwa hiyo nchi ambazo saa 10 jioni ya Tanzania ni sawa na saa tisa alfajiri kwenye nchi zao zinapaswa ziruhusiwe kucheza mechi saa 9 alfajiri kwa sababu muda huo ni saa 10 jioni kwa Tanzania ?
AminaaaaaaSimba kesho bingwa
Mjinga ni baba na mama yako.
Nimekujibu saa 9 ya south Africa, je ni alfajiri south now?
Hiyo mechi imeanza saa ngapi. Punguza stress kenge wewe
Na Pepsi barrriiiiiiidddddddddd Nimekaa paleeee πππ π π utafurahi mwenyewe wewe subiri siku ifike
Kula vyombo , pisi kali kama wewe unakunywaje pepsiπNa Pepsi barrriiiiiiidddddddddd Nimekaa paleeee ππ
Saa 9 ya south ni saa ngapi ya Tz?Mechi imeanza saa tisa pale loftus stadium, je lini umewai kuona mechi ya caf imeanza saa tisa kwa mkapa?
Niwe Pisi Kali nitrrambe!Kula vyombo , pisi kali kama wewe unakunywaje pepsiπ