Saa 9 ya south ni saa ngapi ya Tz?
Hahaha wewe ni pisi mbona , sema tu namweshimu bwashee 😁Niwe Pisi Kali nitrrambe!
Vyombo situmiii
Huo uwanja uko nchi gani?Kila nchi ina saa tisa yake.
Ratiba ya mpira huwa inawekwa kwa kuzingatia nchi inayochezwa huo mpira..
Inakuaje mechi ya CAF iruhusiwe kuanza saa tisa kwenye uwanja wa mamelodi ila mechi ya CAF ikatazwe kuanza saa tisa kwenye uwanja wa simba ?
Huo uwanja uko nchi gani?
Nasemajeeee Kesho 🦁🦁 mtanyukwaaa vibaiyaaaaHahaha wewe ni pisi mbona , sema tu namweshimu bwashee 😁
Thubutu ,ngoja kwanza nifute pombe zangu za kurahuka kesho na ubingwa😛Nasemajeeee Kesho 🦁🦁 mtanyukwaaa vibaiyaaaa
Yagangwe yajayo...
Pyramids wamegomaaaaaa kugangaa yajayoo💙💙💙💙💪💪💪💪💪!!Yagangwe yajayo...
Ikiwa sare ya 2-2 hawabebiAggrigate ya 1 1 inawabeba pyramids fc nyumbani wanaenda kutafuta sare tu.
Kocha wao kafurahia sana...Pyramids wamegomaaaaaa kugangaa yajayoo💙💙💙💙💪💪💪💪💪!!
Ngoja tuone marudiano Hali itakuaje
Je huo uwanja wa simba uko nchi gani?JE hiyo nchi mechi imeanza saa ngapi?
Hata kama ungekua wewe love sio kwa kupelekewa moto tangu mwanzo kule.Kocha wao kafurahia sana...
Wameshapata advantage ya goli la ugeniniHawawezi japo mpira una maajabu yake
Esperance alishindwa ,Alhly alishindwa sidhani kama wao wataweza
Hizi timu zote mbili zinacheza mpira wa wazi ni lazima kila moja itapata goli wakikutanaAggrigate ya 1 1 inawabeba pyramids fc nyumbani wanaenda kutafuta sare tu.
Dah kwenye hili hata sijui nisapoti yupi. Upande mmoja nataka Pyramids ichukue ili kuvunja umiliki wa ubingwa kwa timu zilezile za kila siku ila upande mwingine nataka kama wewe, kupunguza utawala wa mwarabu. Niko njia panda.Hayo makombe yote mawili ya CACL na CAFCC yamevinjari Sana uarabuni (Africa Kaskazini) kwa misimu mingi ya kufululiza.
Itakuwa vyema sana kama yote Sasa yatabaki Sub-Sahara Africa.
Sare ya 1:1Aggrigate ya 1 1 inawabeba pyramids fc nyumbani wanaenda kutafuta sare tu.