FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Nilijuwa na matumaini makubwa na yanga lakini kwa hiki kikosi hata tukipigwa 5 siwezi shangaaa
Acheni woga. Muaminini kocha wenu. Kwa mkapa mlianza hiv hiv halfu mkaishia kusifia.
 
Guede goli lake la 4 ndo limewaleta hapa.
 
Me cn mashaka na gamondi naamini tutapata matokeo mazur leo
 
Hivi unaamini kuwa Guede ni chaguo la kocha au ni viongozi kutokana na bajeti pamoja na kipindi cha usajili (dirisha dogo) kuwa na desturi ya ugumu kwenye soko la kuweza kupata wachezaji bora?
 
Acha upuuzi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…