Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Acha kunifokea mbuzi wewe.Acha upuuzi wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kunifokea mbuzi wewe.Acha upuuzi wewe!
Mbona mabadiliko ya kikosi hiki na cha mwanzo ni kidogo tu?Dah hamu ya mechi imekata nimekuwa na wasiwasi na kikosi
😂😂😂 feiiiMe cn mashaka na gamondi naamini tutapata matokeo mazur leo
Bado sijaona kama anastahili lawama. Ngoja tuoneKocha Garmond anatuhujumu hivi hivi! Mchezaji wake Guede mpaka sasa haendani kabisa na mfumo wa uchezaji wa Yanga!! Yaani hana tofauti na mtangulizi wake Hafiz Konkoni!
Kitendo cha kumuanzisha kwenye hii mechi kitasababisha timu kuelemewa wakati wote! Maana siyo mkabaji! Hana kasi ya uchezaji awapo uwanjani! Muda mwingi anasubiri aletewe mpira!!
Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.
Naahidi kumuomba huyu Guede msamaha hapa jukwaani baadaye, iwapo ataonesha maajabu kwenye hii mechi. Ila kiukweli ataisababisha timu kucheza pungufu kwa muda mwingi kutokana na aina yake ya uchezaji.
Hakun jipya ni km gamondi ameshajikatia tamaa..Mbona mabadiliko ya kikosi hiki na cha mwanzo ni kidogo tu?
Au umesahau jinsi Mzize alivyo fakisha siku ile?
Masandawana staring 11View attachment 2954799
😀😀😀 amka ndugu kumekuchaHiii ni master piece,gamond ni bonge la kocha...huyu mu Argentina anatoa Radha zote yaani musonda atatutanguliza wananchi,guede atafanya mabeki wasipande then goli la pili max nzegeli anatupia tunafungua hesabu
wanajisaulisha hawaMbona mabadiliko ya kikosi hiki na cha mwanzo ni kidogo tu?
Au umesahau jinsi Mzize alivyo fakisha siku ile?
Acha alinde vipaji vyao. Report ya Daktari ndiyo inapelekea kocha kuwapumzisha.Kulikuwa na maana gani aucho, pacome kwenda South Africa? Na mnawapost kabisa wakiwa mazoezini
Sina imani na timu za bongo leo kabsa nahisi ukakasi tu 😬😬😬Nahisi kuna jambo haliko sawa na pacome na kocha...ila tunafichwa tuuu