Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Acheni woga. Muaminini kocha wenu. Kwa mkapa mlianza hiv hiv halfu mkaishia kusifia.Nilijuwa na matumaini makubwa na yanga lakini kwa hiki kikosi hata tukipigwa 5 siwezi shangaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni woga. Muaminini kocha wenu. Kwa mkapa mlianza hiv hiv halfu mkaishia kusifia.Nilijuwa na matumaini makubwa na yanga lakini kwa hiki kikosi hata tukipigwa 5 siwezi shangaaa
Dah hamu ya mechi imekata nimekuwa na wasiwasi na kikosiHiki kikosi ni Mungu tu!
kaa kwa kutulia kikosi kimefanyaje kichapo leo lazimaNilijuwa na matumaini makubwa na yanga lakini kwa hiki kikosi hata tukipigwa 5 siwezi shangaaa
Nahisi kuna jambo haliko sawa na pacome na kocha...ila tunafichwa tuuuKulikuwa na haja gani kwenda SA na pacome, yao na aucho sasa 😂😂
Nipo nachekea chooni Mdogo wangu[emoji23][emoji23]
Satano mbali basii..?? Mtadundishwa kama kitenesi watoto wa Mo'..!
Guede goli lake la 4 ndo limewaleta hapa.Kocha Garmond anatuhujumu hivi hivi! Mchezaji wake Guede mpaka sasa haendani kabisa na mfumo wa uchezaji wa Yanga!! Yaani hana tofauti na mtangulizi wake Hafiz Konkoni!
Kitendo cha kumuanzisha kwenye hii mechi kitasababisha timu kuelemewa wakati wote! Maana siyo mkabaji! Hana kasi ya uchezaji awapo uwanjani! Muda mwingi anasubiri aletewe mpira!!
Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.
Naahidi kumuomba huyu Guede msamaha hapa jukwaani baadaye, iwapo ataonesha maajabu kwenye hii mechi. Ila kiukweli ataisababisha timu kucheza pungufu kwa muda mwingi kutokana na aina yake ya uchezaji.
Maharishi kabisa....Yanga hatupendi watu waogaDah hamu ya mechi imekata nimekuwa na wasiwasi na kikosi
Kwani utoporooo mnategemea hao wachezaji watatu tu....si timu imesajili wachezaji 30 kikosi kipana.Leo mnapigwa zikipungua sana 4....mark my word😆😆Nikiwa kama mwana Yanga, kuwakosa hao wachezaji watatu tena leo ugenini kwakweli sina amani kabisa.
Hat-trick ya nyoko 😂😂Guede with Hat-trick.
Hivi unaamini kuwa Guede ni chaguo la kocha au ni viongozi kutokana na bajeti pamoja na kipindi cha usajili (dirisha dogo) kuwa na desturi ya ugumu kwenye soko la kuweza kupata wachezaji bora?Kocha Garmond anatuhujumu hivi hivi! Mchezaji wake Guede mpaka sasa haendani kabisa na mfumo wa uchezaji wa Yanga!! Yaani hana tofauti na mtangulizi wake Hafiz Konkoni!
Kitendo cha kumuanzisha kwenye hii mechi kitasababisha timu kuelemewa wakati wote! Maana siyo mkabaji! Hana kasi ya uchezaji awapo uwanjani! Muda mwingi anasubiri aletewe mpira!!
Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.
Naahidi kumuomba huyu Guede msamaha hapa jukwaani baadaye, iwapo ataonesha maajabu kwenye hii mechi. Ila kiukweli ataisababisha timu kucheza pungufu kwa muda mwingi kutokana na aina yake ya uchezaji.
Acheni woga na kutafuta sababu banaMechi ya Azam imetucost sana na bado tukapoteza 😥
Acha upuuzi wewe!Kocha Garmond anatuhujumu hivi hivi! Mchezaji wake Guede mpaka sasa haendani kabisa na mfumo wa uchezaji wa Yanga!! Yaani hana tofauti na mtangulizi wake Hafiz Konkoni!
Kitendo cha kumuanzisha kwenye hii mechi kitasababisha timu kuelemewa wakati wote! Maana siyo mkabaji! Hana kasi ya uchezaji awapo uwanjani! Muda mwingi anasubiri aletewe mpira!!
Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.
Naahidi kumuomba huyu Guede msamaha hapa jukwaani baadaye, iwapo ataonesha maajabu kwenye hii mechi. Ila kiukweli ataisababisha timu kucheza pungufu kwa muda mwingi kutokana na aina yake ya uchezaji.
Mimi nimevurugwa kumuona mchezaji kama Guede eti anaanza!!Nikiwa kama mwana Yanga, kuwakosa hao wachezaji watatu tena leo ugenini kwakweli sina amani kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa upoo? Mbona adimu sana?Nipo nachekea chooni Mdogo wangu
Leo nje baridi ndani baridi....[emoji1787]