FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa udugu, natazama mpira tyuh mie.

Najiwazia baadae itakuajee.
Mamelod leo yanafinya udugu tuache utani 🀣🀣🀣
Baadae mnyama anachinjwa anakuwa kitoweo cha idd
 
Mamelod leo yanafinya udugu tuache utani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadae mnyama anachinjwa anakuwa kitoweo cha idd
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi uduguu tubakie hapa kwani, ikiisha ndo tuhamie kule kwa waarabu.
 
Dah! Wametukosa tena 🀣🀣🀣
 
Wifi chelsea jana kafufukia kwa mashetani 🀣🀣🀣🀣
Ile mechi ya jana mwenyewe sikuamini ila nilifurahi kinouma
πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi ni the blues damu, Jana nikabet na shabiki mmoja wa maniyu sahii kanirusha hela yangu, sikujua kama mashabiki wa Man U ni matapeli..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…