Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Nimeshiba Full...C'ssy Maky, umeshiba lakini mama angu..!?
Nipo tayari kwa lolote...tukipita sawa..Tukitandikwa sawa[emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshiba Full...C'ssy Maky, umeshiba lakini mama angu..!?
[emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wa Njombe?Leo nakwambia watatupuna watoto wa mzee madiba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mamelod leo yanafinya udugu tuache utani 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapanaa udugu, natazama mpira tyuh mie.
Najiwazia baadae itakuajee.
Naona kuna fursa nyingi sana za kuwagonga counter hapo katikati anakosekana tu mfanya maamuzi anayemiliki mpira. Ulinzi wa Yanga umetulia licha ya makeke ya masandawana.Kabisa
😂😂😂 eee mapembelo??[emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wa Njombe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi uduguu tubakie hapa kwani, ikiisha ndo tuhamie kule kwa waarabu.Mamelod leo yanafinya udugu tuache utani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baadae mnyama anachinjwa anakuwa kitoweo cha idd
Ni kweli kabisa inaonekana pia kama mamelod wanacheza kwa pressureNaona kuna fursa nyingi sana za kuwagonga counter hapo katikati anakosekana tu mfanya maamuzi anayemiliki mpira. Ulinzi wa Yanga umetulia licha ya makeke ya masandawana.
Udugu leo mechi ya moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu leo umekula nn?
😂😂Wifi chelsea jana kafufukia kwa mashetani 🤣🤣🤣🤣
Ile mechi ya jana mwenyewe sikuamini ila nilifurahi kinouma