Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Ile unaiita nafasi ya dhahabu π€£π haki ya mungu leo kazi ipoAlhamdulillah kipindi cha kwanza kimeisha salama ila Guede katukosea mno!
Nafasi ya dhahabu kama ile anafanya upuuzi.
Hiyo ni style tuliyoamua kwenda nayo kwa sasa hatuwezi kuacha kwa sababu wengine hawafanyi.Ushangiliaji wenye hamasa ni sauti halisi za watu na sio kelele zisizo za mpangilio za vuvuzela. Kumbuka Hawa ndio waligundua haya madude lakini wamepona ni ujinga. Mashirikisho mengi ya mpira wa miguu duniani wamepiga marufuku huu upuuzi. Bongo unakuta dume Zima linapuliza vuvuzela,
ubora ni kwenye kuzuia, ndo maana hasi sasa tuko 0-0Possession 74 kwa 26? Au ubora wenu nyie ni upi droo?
Washambuliaji wa πΈπΈni butu sana, na kwa ubutu wao hawawezi kumfunga WilliamsYaahi hii mechi hatutopata nafasi nyingi, ila nafasi tutaipata tatizo mmaliziaji wa hiyo nafasi.
Yaan sijuagi kwann shalulile anaanza, afu maseko anabaki nje, akati huyu ni hatarii sanaa.We unaujua mpira huyo dogo huwa simpendi hatari anajua sana kupenya kwa mabeki napenda asiingie kabisa
GB 2Hivi nikitaka ku-stream kipindi cha pili naweza kutumia kama GB ngapi kwa kutumia simu line ya Airtel au Tigo wakuu...?
MbumbumbuTimu inashindwa kupigiana hata pasi 3 kwa usahihi ajabu kabisa.
dogo mimi si rika lako mimi ni wa kucheza na mama yako hivyo nidhamu ikutawaleUkikaza wewe Kwa mmeo inatosha
Kwa mpira wa leo ile ni nafasi ya dhahabu, alitakiwa tu kutoa assist kwa Aziz Ki pale amalize shughuli.Ile unaiita Nafasi ya dhahabu π€£π haki ya mungu Leo kazi ipo
jina lenyewe gwede.Alhamdulillah kipindi cha kwanza kimeisha salama ila Guede katukosea mno!
Nafasi ya dhahabu kama ile anafanya upuuzi.
Siwezi kujibu swali la hovyoo kabisa.... Wana Gori ngapi?.Possession 74 kwa 26? Au ubora wenu nyie ni upi droo?
Ndiohivi pacome na yao waliumia mechi na azam?
Utafungwa subiri muda ufikeSiwezi kujibu swali la hovyoo kabisa.... Wana Gori ngapi?.
Uto wapo golini kwao hawaonekani kushambulia wala kupanga mipango ya kushambulia wanasubiri muda uende mpira uishe droo wapige matutaSundowns wameshindwa kuwafungua Yanga wamebaki na pos kubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona una kiraru sana? Huna subs upande wako? Au ndo tia maji maji?Mako
Makocha wa Ubuntu Botho... Au aingie Fred [emoji28]