FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Yangaa bado mnasafari ndefu sana


yaani Dakika 45 zote mna pass 93..
Sasa mmeemda kufanya Nini Uwanjani
 
Reactions: Tsh
Masandakolozdad mmeacha uzi wenu mmekuja huku kunafikia, hii ndio Bongo [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Kwa mfumo wa Yutong hata angekuwa Pacome ambaye wana Yanga walikuwa wanatamani kumuona, bado asingekuwa na impact kwenye timu.

Pacome angeonekana kuwa na madhara pale timu inapokuwa inamiliki mpira na kushambulia, sio kwa aina hii ya defence ambayo kuvuka mstari wa kati tu imekuwa ni nadra.

Mpaka sasa Yanga wanaonesha heshima kwa mpinzani kwa kujaribu kucheza kwa kuzuia ili waweze kupata chansi ya kufika matuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…