FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Wewe mpaka sasa ushakalia kidude kula daku ushibe ugongwe tena.
Mpo fit kwenye kulewa na kutukana Ila CAFCL haipo kwa walevi na watukanaji, siku mkiacha ulevi na kutukana mtasonga mbele.

Kwa sasa bado sana 🐸🐸
 
Wako vizuri kwenye Nini Mkuu?
wako vizuri kama dakika 45 zote wamegusa mpira mara 93..

Maana yake kila Dakika moja wamegusa mpira mara 2 tu ..
Tactic

Hawajafungwa

Simba dk 6 tu walishapanua nyoro
 
Back
Top Bottom