FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Toa Aziz Ki hivi coach haoni, huyu coach ana matatizo ya macho au
 
Hapa inataliwa sub zifanyike. Jamaa wamekuja na kasi mara mbili ya mwanzo. Na uwezo wa Yanga kushambulia hata counter unapungua kwa kasi.
 
Naamini Simba watafanya vizuri kuliko haya tunayoona. Maana simba hawaogopi kukushambulia hata kama uwe na uwezo gani.
 
Leo naziona Move nyingi alizokuwa akifanya Mayele, sema Musondo skills kama za Mayele hana.
 
Back
Top Bottom