FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Kila mtu apambane na hali yake.
Makolokwinyo baada ya kuona hamuna nafasi ya kuendelea mumeamua kuomba tukose wote, lakini hilo halipo.

Simba anapasuka vizuri tu, huko wananchi tukielekea nusu fainali.
utopwinyo atakandwa na masandawana 3:1 tena hapo kajikaza kweli kupata fauli la penelti
 
Huu ndio utabiri wangu baada ya kupata hisia fulani muda huu. Mamelodi anaweza kusawazisha dakika za majeruhi ila hawezi kupata goli zaidi ya moja na Yanga atakuwa amevuka.

Kwa maana hiyo, Yanga atashinda moja bila kuanzia dakika ya 80 au watatoka sare ya moja moja na hivyo ndivyo ambavyo Yanga watafuzu leo hii.

Mechi itakuwa ngumu sana na timu zote zitapoteza nafasi nyingi kutokana na pressure ya mchezo.

Muda utaongea.
 
Na isipokua hivyo tukufanye nini mkuu?
 
mwanayanga chukua pesa yako ya ujenzi, milion 10 beti kwa yanga.
utapiga milion 12, utajenga nyumba ya ndoto zako.
 
Attachments

  • IMG_20240405_112255.JPG
    IMG_20240405_112255.JPG
    16.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom