FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Habib Habib thalanta bin thiful leo
MAMELOD kandamiza misumar ya Moto
UBUNTU BOTHO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
FB_IMG_1711768765528.jpg
 
UTO akipata hata shot on target mnipige ban la mwaka
UBUNTU BOTHO
Hivi unajua kwamba yule jamaa alikuwepo siku ile lakin hakuwa na madhara?

Na leo pia bila ya shaka atakuwepo lakin hatokuwa na madhara
 
View attachment 2954053
2nd Leg Match

CAF CHAMPION LEAGUE

QUARTER FINAL.

Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc

Time: 900Pm

Stadium: Loftus Versfeld Stadium

More Updates following...
Mimi ni simba damu! Ila kwa leo nawatakiwa Wananchi Yanga 💚💛 ushindi ili wasonge mbele mpaka fainali. Sisi miaka yote huwa tunaishia robo fainali. Na leo ndiyo tunahitimisha safari yetu ya robo fainali.
 
Back
Top Bottom