Yanga ikifungwa litakuwa bao moja tu, ila mamemoldi wakifungwa yataweza kufika hata manne. Hii inatokana na style za uchezaji wao. Mamelodi wakifunga watakwenda kujilinda zaidi na kupunguza mashambulizi; kwa upandce wmingine Mamemlodi ikifungwa basi watafunduka ili kushambulia lango la Yanga na hivyo kuwapa Yanga mwanya wa kushambulia kwa kushtukia zaidi kwani Yanga wako vizuri sana kwa upande wa mashambulizi ya kushtukiza na ndiyo huwsapa mabao mengi sana. waulize Simba wanajua muziki wa Yanga kwenye mabao ya kushitukiza