FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

yanga aki qualify natoa number ya mke wangu na mchepuko yangu miwili. no jokes . am so confident the end of the road. nitapost dm nikigawa number hizo. if it happens. mpira auna siasa. wa bongo acheni siasa. 🚮
Tuwe na kiasi katika kunena kwetu.
Hata vitabu vya Mungu vinatuasa.
 
3 - 0 ft mapema tu hii
Yanga ikifungwa litakuwa bao moja tu, ila mamemoldi wakifungwa yataweza kufika hata manne. Hii inatokana na style za uchezaji wao. Mamelodi wakifunga watakwenda kujilinda zaidi na kupunguza mashambulizi; kwa upande mwingine Mamemlodi ikifungwa basi watafunguka ili kushambulia lango la Yanga na hivyo kuwapa Yanga mwanya wa kushambulia kwa kushtukia zaidi kwani Yanga wako vizuri sana kwa upande wa mashambulizi ya kushtukiza na ndiyo huwapa mabao mengi sana Waulize Simba wanaujua muziki wa Yanga kwenye mabao ya kushitukiza
 
Usikimbie hapo baadae
Hii picha imepigwa baadae
IMG_0332.jpeg
 
Back
Top Bottom