Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kabisa kaka baadae mamelodi sundowns tutawapiga kama ngomaNchi yetu leo itakuwa na furaha kubwa sana.
Hongera sana Yanga wenzangu.
Hongera Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa kaka baadae mamelodi sundowns tutawapiga kama ngomaNchi yetu leo itakuwa na furaha kubwa sana.
Hongera sana Yanga wenzangu.
Hongera Tanzania.
Tuwe na kiasi katika kunena kwetu.yanga aki qualify natoa number ya mke wangu na mchepuko yangu miwili. no jokes . am so confident the end of the road. nitapost dm nikigawa number hizo. if it happens. mpira auna siasa. wa bongo acheni siasa. 🚮
Kuwaongoza mashabiki wa Simba ni miongoni mwa kazi nyepesi sana 😅😅 kaka badala wa focus na mechi Yao baadae wanakuja hapa kuchekaKolo wanasahau na wao wana game yani
Poleni na uchovu aiseee!! Safari ndefu ile, mlipitia Msumbiji au Zambia?? 🤣🤣🤣Tumefika salama.
Hallah!!
Walifika Toka saa 12 jioni ya leoHivi bado mashabiki waliopanda fusso kwenda kwa madiba hawajafika??
Yanga ikifungwa litakuwa bao moja tu, ila mamemoldi wakifungwa yataweza kufika hata manne. Hii inatokana na style za uchezaji wao. Mamelodi wakifunga watakwenda kujilinda zaidi na kupunguza mashambulizi; kwa upande mwingine Mamemlodi ikifungwa basi watafunguka ili kushambulia lango la Yanga na hivyo kuwapa Yanga mwanya wa kushambulia kwa kushtukia zaidi kwani Yanga wako vizuri sana kwa upande wa mashambulizi ya kushtukiza na ndiyo huwapa mabao mengi sana Waulize Simba wanaujua muziki wa Yanga kwenye mabao ya kushitukiza3 - 0 ft mapema tu hii
Watakuwa wamechoka sana!! Wawe makini nao hawachelewi kuzamia bus likarudi tupu 🤣🤣🤣🤣Walifika Toka saa 12 jioni ya leo
Kule skuizi hawachukui wazamiaji ukiwa mgeni unarudishwa kwenu na kule ukiwa mbongo ukisema oya unapigwa risasi 😁😂Watakuwa wamechoka sana!! Wawe makini nao hawachelewi kuzamia 🤣🤣🤣🤣
Usikimbie hapo baadaeKila la heri timu yangu ya ukubwani Masandawana!!
Nipigieni hao “Amphibia” goli chache kama 3 hivi ili wawe timu ya kwanza kutoka kwenye mashindano!!
🤣🤣🤣🤣 thubutuuu!! Subiri uone mechi ikiisha km bus halijarudi na watu pungufuKule skuizi hawachukui wazamiaji ukiwa mgeni unarudishwa kwenu na kule ukiwa mbongo ukisema oya unapigwa risasi 😁😂
Hii picha imepigwa baadaeUsikimbie hapo baadae