Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Maiti tutaipokea saa ngap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulipo kua tunasema tumekufa kiume mkawa mnatubezaHili zimwi la kubebwa litawatafuna CAF na kiongozi wao.
Aisee hii mechi yanga alitakiwa kupita.
KUANZIA LEO SITIZAMI CAFCL WALA CAFCC TENA.
Nitaishabikia Yanga NBC pl
Hongera! Umeingia nusu fainali😁😁😁😁YANGA NUSU FAINALI HII HAPA
Tukapigane hadi dakika ya mwisho
Nkamu nimeona, jamaa km jini linakatengua magoli, huyu tungempa sepenga kabla ya mechi 🤣🤣🤣🤣Huyo Williams sikio zake Zina antena
Zinanasa mipira inakokwenda.
Ndiye golikipa Bora wa Afcon huyo.
Tulia weweAll the best makolo
Ila nyie sijui hata km mna pumzi ya kufika penalt
tunazika au tunasafirishaMaiti tutaipokea saa ngap
Jamani Shem. Tuko mwezi wa faraqIla wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa 🤣🤣🤣🤣😂
Ni kweli japo moyo unaniuma kukubali huu ukweli.Kwa Uto hii Simba ijipange.
Nashangaa penati kupiga mabeki.Lomalisa na Nzengeli wasingekosa zile penalties!
What a loss! 😭😭
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Watakuja sema umepigwa pasi ndio maana unamsakamaHamna caren Simba kachangia na mitako yake 🤣🤣🤣🤣
Mekufa kiume nini😁😁😁😁😁😁Miemko Hapana.
Inabidi waende na beat ya kucheza kwa mahesabu kujilinda kidogo then unashambulia kidogo.
La sivyo tujiandae kwa mafuriko.
Kutokana na maiti kuharibika sana ndugu wameamua kuzika huko huko ugenini......🤣🤣🤣tunazika au tunasafirisha
Tatizo madogo wote simba wananicheka mpk nimetamani kuwafukuza 🤣🤣🤣🤣Hutakiwi kukasirika. Kwa uwekezaji wa Mamelodi sio sawa na timu yetu. Hao wanaocheka ni wehu na uwazoee na mara nyingi huwa wanajifurahisha ila moyoni wanakiri kwamba Yanga wanaweza. Tushukuru kwa hapa, tujipange kwa mwaka ujao mkuu. Kwa namna yoyote, lazima mmoja angeshinda.
Labda kipindi cha tatu 😁😁😭😭
We deserve to win
Hawa mamelodi wamebebwa nasimama na goli la Azizi ki
Linadaka hilo lihunii balaaa.Watu wanalaumu Yanga bure
Huyo fala Williams Lina Antena masikio yake
Haikuhitaji hata VAR, hili lilikua goli ....😏😏😏Bado najiuliza vipi var imeshindwa kutambua hili goli na kwa nini refa hakutaka kwenda kujihakikishia kwenye screen akasubili apate taarifa kutoka kwa marefa wa nje..
View attachment 2954976
😂😂😂😂 udugu niwacheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]