FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Huyo Williams sikio zake Zina antena
Zinanasa mipira inakokwenda.

Ndiye golikipa Bora wa Afcon huyo.
Nkamu nimeona, jamaa km jini linakatengua magoli, huyu tungempa sepenga kabla ya mechi 🤣🤣🤣🤣
 
Hutakiwi kukasirika. Kwa uwekezaji wa Mamelodi sio sawa na timu yetu. Hao wanaocheka ni wehu na uwazoee na mara nyingi huwa wanajifurahisha ila moyoni wanakiri kwamba Yanga wanaweza. Tushukuru kwa hapa, tujipange kwa mwaka ujao mkuu. Kwa namna yoyote, lazima mmoja angeshinda.
Tatizo madogo wote simba wananicheka mpk nimetamani kuwafukuza 🤣🤣🤣🤣
Dah! Hii mechi imeniuma, ngoja nile savannah akili ikae vzr kwanza
 
Back
Top Bottom