FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Huyo Williams sikio zake Zina antena
Zinanasa mipira inakokwenda.

Ndiye golikipa Bora wa Afcon huyo.
Nkamu nimeona, jamaa km jini linakatengua magoli, huyu tungempa sepenga kabla ya mechi 🀣🀣🀣🀣
 
Ila wamezingua kinouma hawa wapiga penalty na Aziz Ki yule demu wake ndio kammaliza nguvu, midada ya kibongo inapenda sana kudinywa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Jamani Shem. Tuko mwezi wa faraq
 
Tatizo madogo wote simba wananicheka mpk nimetamani kuwafukuza 🀣🀣🀣🀣
Dah! Hii mechi imeniuma, ngoja nile savannah akili ikae vzr kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…