Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Pole mkuu mi mwenyewe nmenywea sana, nimeumia sana kukataliwa lile goli la azizi kiMwili umekufa ganzi kwa haya matokeo ila ndio hivyo hakuna namna, Najikaza kiume maisha lazima yaendelee[emoji1666]Asanteni Yanga[emoji120]