FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Mwili umekufa ganzi kwa haya matokeo ila ndio hivyo hakuna namna, Najikaza kiume maisha lazima yaendelee[emoji1666]Asanteni Yanga[emoji120]
Pole mkuu mi mwenyewe nmenywea sana, nimeumia sana kukataliwa lile goli la azizi ki
 
Kiboko yake ni Nigeria
Antena zake hazikufua dafu
Alikuwa mweupe kama sembe[emoji16]

Cape Verde lilidaka penati zao karibia zote halafu watu wanakuja kuwalaumu Yanga..
Hata angekuwa fundi gani wa kupiga,bado lingedaka.

Sasahivi kilichobaki ni mitusi kwa huyo mwendawazimu wa kuitwa refarii.
Refa ndio mvhxdfhhjj kaniboa nkamu 🤣🤣🤣
Ila refa huyu angechezesha zile mechi za kombe la mbuzi, mwisho wa mpira wahuni tungembeba tungezama naye ndichi… huku tunamwimbia haiya hiya kuolewa 😂😂😂😂
 
Refa sijui katoka ubeligiji sijui wapi.......😏😏😏refa wa hapo dizonga
 
Mwili umekufa ganzi kwa haya matokeo ila ndio hivyo hakuna namna, Najikaza kiume maisha lazima yaendelee[emoji1666]Asanteni Yanga[emoji120]
Wee lala, meza na diclopar ili ulale vzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom