The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Naunga mkono hojani wazi ushindi ni 2-0 dhidi ya masandawana wasiokua na mashabiki wa kutosha huko Pretoria 🐒
Chagua upande nani anapigwa 33 - 0 ft mapema tu hii
Vipi; Pacome yumo ndani ya List?Mimi baada ya kumuona Aucho tu imani imerejea.
Mungu Mkubwa, tukutane nusu fainali Insha’Allah!
Bado kikosi hakijatoka Mkuu, nafikiri kitatoka lisaa limoja kabla ya mechi.Vipi; Pacome yumo ndani ya List?
Unajua wakati Pacome yumo ndani ya list huwa wapinzani wanalazimishawa kuchagua ama kupambana na Pacome au kupambana na Yanga. Hawawezi kupambana na Yanga pamoja na Pacome kwa mpigo.
Kama Pacome yumo ndani ya list basi ushindi ni wa asubuhi tu.
AMINAKila la kheri wananchi[emoji169][emoji172]
Sio mchezoMechi ya maana inaisha saa 5 tu, tuna mambo mengi ya kufanya hatuwezi kukesha kwenye mamipira.
I don't understand the language am from Chile, but you mean Mwanyeto of Utopolo or Bacca of Utopolo too will get umeme? *red cardHabib Habib thalanta bin thiful ظزيزيوتيقتروويبزوؤيزبكصنثنوؤred card ننتينينيزيزؤزيزنز, utopolo 🐸🐸🐸🐸
Hata TBC1
Mtacheka kwa sababu leo ni siku yenu ya kuwa Mwakarobo jr 😂😂Utalia wewe.
Yanga tutacheka.