FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Kikosi cha leo cha ushindi. Jazia hapo

1. Diara
2,.......
3........
4........
5........
6.......
7......
8......
9.....
10.......
11.......
 
Hii ndio mechi, kule upande mwingine hamna kamshange
 
Mimi baada ya kumuona Aucho tu imani imerejea.
Mungu Mkubwa, tukutane nusu fainali Insha’Allah!
Vipi; Pacome yumo ndani ya List?

Unajua wakati Pacome yumo ndani ya list huwa wapinzani wanalazimishawa kuchagua ama kupambana na Pacome au kupambana na Yanga. Hawawezi kupambana na Yanga pamoja na Pacome kwa mpigo.

Kama Pacome yumo ndani ya list basi ushindi ni wa asubuhi tu.
 
Bado kikosi hakijatoka Mkuu, nafikiri kitatoka lisaa limoja kabla ya mechi.
 
Mungu ibariki YANGA. Mechi itakua ngumu ila tujitahidi tupate gori la mapema na tusiruhusu kufungwa.
#Yanga #Mamelod zote currently ni timu bora zaidi barani Africa
 
Back
Top Bottom