FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Hawa jamaa angekuwemo fundi pakome angeunganisha washambuliaji na kiungo kwa possessions zake tungeshawagonga kimoja.

Mipira haikai kabisa katikati
 
Nilikuwa Kwaresma mdogo wangu...
Unaendeleaje?
Leo ni Leo Dogo[emoji2]
Oooh polee na hongera kwa mfungo wa kwaresma.
Mie niko poaa sana,
Yaan atakae sema kesho ni muongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nanukuu,

"""Bora hata angeanza Mzize anayekosa magoli ya wazi, huku akijituma na kuwasumbua mabeki! Dah!! Hii ni kamari ya hatari sana kocha ameamua kuicheza.""""

Kuna brother mmoja Ali itwa senge huyu bro alikua Ni hatari Sana kwenye kufumania nyavu..

Mzize anashindwa Nini kuji train kwenye hiyo area ya kushindwa ku score nafasi za wazi..

Mfano
Afanye ivi achukue mipira hata mitatu mpaka minne afanye zoezi la kugongesha mitambaa panya siku nzima itamwongezea umakini pia Kama Hana utulivu ajarib ku smoke hata mjani kidogo kichwa ikae sawa ama kupiga mvinyo kidogo kutampa utulivu
Mzize ataingia wakichoka
 
Back
Top Bottom