bleach limeharibu ubongoLeo pagumu, makosa ni mengi kwa wananchi, Ki anazinguaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bleach limeharibu ubongoLeo pagumu, makosa ni mengi kwa wananchi, Ki anazinguaa.
Vuvuzela usipokuwa makini ukipuliza kuna upepo unatoka kwa nyuma.Ushangiliaji wenye hamasa ni sauti halisi za watu na sio kelele zisizo za mpangilio za vuvuzela. Kumbuka Hawa ndio waligundua haya madude lakini wamepona ni ujinga. Mashirikisho mengi ya mpira wa miguu duniani wamepiga marufuku huu upuuzi. Bongo unakuta dume Zima linapuliza vuvuzela,
We unaujua mpira huyo dogo huwa simpendi hatari anajua sana kupenya kwa mabeki napenda asiingie kabisaShaulile atoke, aingie Maseko.
Nipo vipi harakatiWe mkuu ulikuwa wapi mbona sikuoni siku nyingi
Lolote linaweza kutokeaHaya plan ya first half imefanya kazi, tuone kipindi cha pili
Sahihi kabisa, tuwapongeze Kwa kucheza Kwa maelekezo na kutimiza malengo.Mmejitahidi kwa hatua hii hongereni
Wanacheza mpira wa kitoto sana,show offYanga anaenda nusu nimegundua mdiomaana mamelodi hua anatolewa kwenye hizi hatua mara nyingi. Siwazuri kuzifungua timu zinazofunga njia kama waarabu.
Waarabu hua nahatari zaidi kuliko mamelodi hata speed ya mpira Mamelodi wanaubishoo bishoo flani hivi
hivi pacome na yao waliumia mechi na azam?Bado hamjasema. Kwao kama kwetu. Daima mbele nyuma mwiko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushangiliaji wenye hamasa ni sauti halisi za watu na sio kelele zisizo za mpangilio za vuvuzela. Kumbuka Hawa ndio waligundua haya madude lakini wamepona ni ujinga. Mashirikisho mengi ya mpira wa miguu duniani wamepiga marufuku huu upuuzi. Bongo unakuta dume Zima linapuliza vuvuzela,
Anazingua mno, yani anatembea tembea tu utadhani kibooooonge utadhani kaazima mwili wa msechu, anaboa.Leo pagumu, makosa ni mengi kwa wananchi, Ki anazinguaa.
Possession 74 kwa 26? Au ubora wenu nyie ni upi droo?Wale wa Ubuntu Botho wanachungulia uZi na kusonyaaaa. ..... Wanaogopa tu kusema Hawa Mamelodi ni sawa na Ihefu😅😅
Makocha wa Ubuntu Botho... Au aingie Fred 😅Shaulile atoke, aingie Maseko.
alifurahi pangiwa na yanga sasa anajutaKocha wa MAMELOD SUNDOWN naona Kama Hana Raha pia WASIWASI MWINGI SANAA
Hii imeniuma sana aisee Haiwezekani wakashindwa kufunga mpaka kipindi cha kwanza kinaisha lazma watakuwa wamepokea HongoMasandakolozdad nyie mliesema mpaka HT yanga atakuwa kaoga nyingi
Haya sasa....[emoji28]