FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

YANGA MJIFUNZE HAPA KIDOGO

20240405_223423.jpg
20240405_223415.jpg
 
Kama Soka ndio Caf wawe wanasema mapema Timu gani wanazitaka zicheze fainali Yanga wameonewa lile ni goli VAR kunufaisha Timu maana
Shubamiti.......[emoji35]
 
Refa anaamua kwenda au asiende, na hata akiona bado anaweza amua yeye nini kiwepo.

Ile ya lomalisa ilikua straight Red card, mbona hakumpa, na kwenye VAR alienda kutazama.
Coca acha basi, straight red bila contact? Weka ushabiki pembeni, haya Hilo goli limeingia au?
 
Back
Top Bottom