FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Mpira wa africa jau sana,hawa Mamelod ni wepesi hawabebeki
Kama umefuatilia maamuzi ya kubumba yaliyohusisha VAR utaona mengi yaliyotolewa bila refa kwenda kwenye screen kujiridhisha.

Ukiona tu anawasiliana na microphone ujue hapo baasi kuna ujanja ujanja unafanyika.

Kuna uwezekano hata ile microphone hayakuwa mazungumzo kati ya VAR control room sometimes inaweza kuwa ni tajiri anamuambia refa peta hilo goli kuna hela yako huku nje.
 
Uwezo wa mamelody kushambukia ni mdogo sana sana ..
wao wanachojua ni kumiliki mpira hawana watu wakufos magori kule mbele butu kabisa

hawa msiwaogope tukaze tunawatoa vizur tu
 
Back
Top Bottom