FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Mkuu, huoni nafasi ya Yanga kupita either kwa kufika matuta au droo ya 1-1? Naona kama sundowns wameishiwa mbinu ni Yanga tu kufanya counter positive.
Sundown washakata tamaa. Hiyo backline ya yanga hata bayern kwa leo wasingefungua....

Yanga washindwe wenyewe.
 
GBtzn2SbEAAGPtL.jpeg

Zameni kati wakuu🤣
 
Back
Top Bottom