Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Jaribu kuficha uchi wa akili yako basi.Ile offside
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuficha uchi wa akili yako basi.Ile offside
Sundown washakata tamaa. Hiyo backline ya yanga hata bayern kwa leo wasingefungua....Mkuu, huoni nafasi ya Yanga kupita either kwa kufika matuta au droo ya 1-1? Naona kama sundowns wameishiwa mbinu ni Yanga tu kufanya counter positive.
Wamezingua sana mpira haupo hivyoTime will tell
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwana Yanga wakike shika titiiii kuzuia goliii[emoji848][emoji848]
Vyovyote vile Uto hawatakiwi wasonge mbele waishie hapahapaWatoke kihalali kwa kukandwa si kudhulumiwa.
Unasemaje sasa mpumbavu wewe? Tumenyimwa tu goli lake lile.Domo lile
Kilo kumi
Dah ndio ishazulumiwa goliNilitaka kuona Yanga inafungwa kwa fair play sio hizi drama za kitoto ambazo tunaziona hapa.
Hawa mamelod wepesi sana,yanga hapa tunashida
NAKAZIAYanga mnatoka tu iwe Kwa Roho mbaya iwe Kwa zengwe, kutoka mnatoka
Lile ni bao wazi kabisaa, shabiki yeyote wa mpira anajua lile ni bao, ila shabiki wa team atasema sio goal.Tukiweka ushabiki pembeni lile ni bao Coca
Hata mie nimeona hii.Yanga anavuka hii hatua
Save hii comment
Dhulma haijawahi kuishinda haki.