FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

Afadhali maana kelele za vyura zilikuwa nyingi sana.....tunaweka rekodi sawa....mpaka hivi sasa taifa linawakilishwa na mnyama na sio utopolo
 
Wee acha madogo wananicheka hapa live, yani wanacheka balaa. Wanasema sister pole [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekasirika kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira shinda nyumbani kwa njia yoyote ile,ukienda ugenini huko
Team ya huko itafanya njia zote ishinde fitna nk

Ova
 
Bado najiuliza vipi var imeshindwa kutambua hili goli na kwa nini refa hakutaka kwenda kujihakikishia kwenye screen akasubili apate taarifa kutoka kwa marefa wa nje..

 
Back
Top Bottom