Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The case is easily closedNop Hapana TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI YANGA KAIBIWA GOLI....
KADHULUMIWA..
Lile goli la UTO
Unazungumzia shirikisho ya mwaka gani?Hiyo shirikisho hujawahi kucheza? Umeisha hatua gani?.
Hatakiwi kukosa maana ndiyo kazi yake aliyo ichagua nisawa uwe stedishow wa bolingo na ngai halafu hukatiki viuno stejini..hajawa wakwanza kukosa...
Nawaza tu Mamelody Sundowns ndiyo mbeleko kiasi hiki, je Al Ahaly SC vs Simba SC itakuwaje sasa (wenye kombe lao)?Mtani eeh, Semi final ilikua yenu na mliipambania kwa halali, ila wenye maamuzi wameamua kuwakata.
Tujipange mwakani.
Mngeifunga Mamelod 5 haya mambo ya kudhulumiwa yasingekuwepo😁😁Nop Hapana TUKIWEKA USHABIKI PEMBENI YANGA KAIBIWA GOLI....
KADHULUMIWA..
Lile goli la UTO
Tumeshachapwa huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaza tu Mamelody Sundowns ndiyo mbeleko kiasi hiki, je Al Ahaly SC vs Simba SC itakuwaje sasa (wenye kombe lao)?
Kwa Al Ahyl inaweza kuwa nafuu kwa sababu anachotafuta Al Ahly ni Ubingwa tu CL ambao keshauchukua sana lakini Mamelodi wanachotafuta ni zaidi ya Ubingwa wa CL bali nafasi ya kucheza Kombe la Dunia la Vilabu.Nawaza tu Mamelody Sundowns ndiyo mbeleko kiasi hiki, je Al Ahaly SC vs Simba SC itakuwaje sasa (wenye kombe lao)?
Swali hujawahi shiriki?. Umefka hatua gani?.Unazungumzia shirikisho ya mwaka gani?
ngapi ngap uko Cairo 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tumetoka kutoka Mlima Kilimanjaro hadi Everest!!Tumeshachapwa huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuwaga objective sana mkuu, binafsi nakukubali sana unavokomentigaNilitaka kuona Yanga inafungwa kwa fair play sio hizi drama za kitoto ambazo tunaziona hapa.
[emoji2960]Nakwambia bro,hii game dunia na Africa imeona.
Yanga alistahili,sio tu goli kuna mambo kibao Mamelody kabebwa.
Sitakaa nitizame CAFCL kaamwee.
Abeeh na emoji hizo tena? Hamna Amani hapaAbeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Ina maana umeshasahau au umeamua tu kujizima data? Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka uzembe ambao tuliufanya na Gwaneng Galax ambae tulimpiga 2-0 kwao halafu kwa Mkapa akatupiga 3-1, kwahiyo tukaaga Champions tukenda Confederation ambayo tulitolewa Robo kwa matuta nadhani na Kaizer Chiefs au Orlando Pirates. Ni juzikati tu hapa, kama sio 2021/2022 basi 2022/2023Unazungumzia shirikisho ya mwaka gani?
Wewe huko buza huko ndo umeona goal.ila walioko uwanjani hawajaona goal ?Usitudanganye bhana nani asiyejua hiyo tech?
Goal line tech inaeleza asilimia 80 ya circumference ya mpira ikivuka goal line hilo ni goli.
WEWE MPAKA KIVULI CHA MPIRA KILIKUA NDANI UTASEMAJE SIO GOLI!?
Refa foul alikua akienda kutizama video zake mbona goli hakuenda tizama aamue!?