FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Hapa ndio utajua umuhimu wa kuwa kama Lenie
Unakuwa huelewi be wala che.
Mambo kama haya yakitokea, unakuwa zako tu hapo na raha zako zingine.

Mpira anasa Carleen 🤣🤣🤣
Nikae kwa utulivu nisubiri Halaand anishangazie madevu.

BTW hongereni bana Numbisa ingawa sijaitoa uvunguni mwa moyo 😂😂
 
Usipende kuhitimisha kwa kusikia maneno ya watu na wewe ukayachukua na kuyaamini

Hao kina Oruma wametoa thumb ups kwa Yanga mara kibao tu wewe kama unasema huoni basi ni tafsiri kwamba vyanzo vyako vya kukufanya usikie chambuzi vinatoka kwa watu ambao wana bifu nao.



Kama umeamua kuwaona wanachuki kwasababu umeaminishwa hivyo basi huwezi ukaona mazuri yao hata wabebe TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…