FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

IMG_8573.jpg

Watu wa simba
 
Hapa ndio utajua umuhimu wa kuwa kama Lenie
Unakuwa huelewi be wala che.
Mambo kama haya yakitokea, unakuwa zako tu hapo na raha zako zingine.

Mpira anasa Carleen 🤣🤣🤣
Nikae kwa utulivu nisubiri Halaand anishangazie madevu.

BTW hongereni bana Numbisa ingawa sijaitoa uvunguni mwa moyo 😂😂
 
Hata kama wakiiombea yanga Mungu hawezi kusikilizia maombi yao! Lakini nachojiuliza mimi why they are always negative! Negative negative!,!?

Ujue binadamu wa kawaida ambaye muda wote yupo negative inatakiwa achunguzwe kwa makini unakuwaje negative always mpaka unashindwa kustick kwenye taaluma yako na kujitoa ufahamu hili tu uendeleze ile attitude ya negativity!?

Ok fine tusahau yote ya nyumaya wachambuzi,hivi kwa mchambuzi mwenye akili timamu na mzoefu hivi ni kweli unaweza ukakurupuka na kutoa asilimia chini ya 20 kwa yanga kufuzu fainali baada ya mechi ya kwanza!? Inahitaji upumbavu mwingi sana kufanya hivi,

Suala la yanga kuchukiwa na wachambuz hilo lipo waz halihitaji mashabiki kuaminishwa wala nini kwani wenyewe tunaona ndio km hivi!
Usipende kuhitimisha kwa kusikia maneno ya watu na wewe ukayachukua na kuyaamini

Hao kina Oruma wametoa thumb ups kwa Yanga mara kibao tu wewe kama unasema huoni basi ni tafsiri kwamba vyanzo vyako vya kukufanya usikie chambuzi vinatoka kwa watu ambao wana bifu nao.

Screenshot_20230517-203529.png
Screenshot_20230517-203934.png
Screenshot_20230517-203529.png


Kama umeamua kuwaona wanachuki kwasababu umeaminishwa hivyo basi huwezi ukaona mazuri yao hata wabebe TV
 
Back
Top Bottom