Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalpana kwa heshima na taadhima tafadhali nakuomba uuwekee lamination huu ujumbe...[emoji142]Hii nchi inashangaza, yaani Msukuma na Babu Tale ni madokta ila sio Fiston Mayele
Lile kipara si ni team dunduka ndio maanaEti TANESCO ndo wanarudisha umeme saa hizi PAMBAFU kabisa
[emoji1787]Kisinda na Mudathir ni wahujumu uchumi.
ura ila wewe kikongwe ulie zeeka main uwanjani mnalukaluka tu mbweaaa wakubwaWe chura chezeni mpira acheni kuwanga
najua juzi ulienda upareni kuwanga fala sana unatuwangia sana humu ndanSawa mimi ch
ura ila wewe kikongwe ulie zeeka main uwanjani mnalukaluka tu mbweaaa wakubwa
MchawiMalumo 2 yanga 1....
Yanga ileee
Katika hili nadhani mwanafunzi kaiva kuliko mwalimu mwenyewe Carleen , sio kwa usagaji huu wa kunguni aiseeh😂.
Mie mwenyewe nimeshtuka,😂😂😂😂
Mdogo wangu huku kila siku nakufundisha kufunga na kuomba, ukimuambia hivyo kaka yako unataka tubaki nyumbani usishone sare..?
Mwaka ni WA Man City huu atamfunga Real Madrid goli zaidi ya 5.Vyotd vinaenda pamoja mkuu. Mnaweza kua mna kikosi kizur lkn mkakosa bahati mf man city ambavyo hana bahati na uefa
Kolo kula chuma hicho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2625716
Hebu ona aibu, ili muwe Bingwa wa Africa mkacheze kwanza na akina Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad Casablanca, na miamba mingine, acheni kujifarijiYanga bingwa wa Africa.
Uwiiii nsamehe nishasahau😒😒😒😂😂😂😂
Mdogo wangu huku kila siku nakufundisha kufunga na kuomba, ukimuambia hivyo kaka yako unataka tubaki nyumbani usishone sare..?