FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

Hebu ona aibu, ili muwe Bingwa wa Africa mkacheze kwanza na akina Mamelodi, Al Ahly, Zamalek, Wydad Casablanca, na miamba mingine, acheni kujifariji
Kama huipendi Yanga kinyonge Kwa kamba [emoji28]
 
Mayele angekuwa chakula, ndicho chakula ningekula kila siku bila kuchoka.
Mayele, Musonda na wachezaji wote wa Yanga, benchi la ufundi, viongozi... team yote, mashabiki, Nabi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Asanteni sana, mmefanya siku ya historia, furaha. Tunawapenda sana 💚💛

Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu 🙏🙏🙏

YANGA DAIMA MBELE, NYUMA MWIKO
Since 1935 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
 
🔥🔥🔥🔥
20230517_225316.jpg
 
Back
Top Bottom